TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Mpira wa kikapu

The Typologically Different Question Answering Dataset

Mchezo huu ulianzishwa na mwalimu James Naismith kwenye chuo cha Springfield College huko Massachusetts mwaka 1891. Alibuni mchezo huo kwa ajili ya wanafunzi wake ili wapate mazoezi wakati wa kipupwe waliposhindwa kucheza nje. 

Mchezo wa mpira wa vikapu ulianzia wapi?

  • Ground Truth Answers: MassachusettsMassachusettschuo cha Springfield College huko Massachusetts

  • Prediction: